LADY JAYDEE na GARDNER WAENDELEA VYEMA NA SAFARI YA KUUPANDA MLMA KILIMANJARO.
Leo ni siku ya nne ya safari ya Lady Jaydee na mume wake Gadner
kuupanda Mlima Kilimanjaro. Kwa mujibu wa picha kutoka kwenye blog ya
kilidovetour wanaiongoza safari hiyo, wote wanaonekana kuwa ngangari
wasiokuwa na hata chembe moja ya kurudi nyuma.
No comments:
Post a Comment