Friday, March 29, 2013

HUYU NDO BINTI ALIYECHEZEA KICHAPO KUTOKA KWA MPENZI WAKE BAADA YA KUBUSU KIFUA CHA DIAMOND JANADada Huyu Akiwa kwenye show ya Diamond alinyanyuka na kwenda kubusu kifua cha diamond,baada ya hapo alichezeya kichapo toka kwa jamaa yake baada ya kujisikia vibaya na hicho kitendo...Binti uzalendo ulimshinda, akaenda kumnyonya matiti Diamond Binti uzalendo ulimshinda, akaenda kumnyonya matiti Diamond

Binti huyo akilia baada ya kuvutwa na kuchezea kichapo kutoka kwa bwana wake

Binti huyo akilia baada ya kuvutwa na kuchezea kichapo kutoka kwa bwana wake
 
Binti alipokua kwenye show ya Diamond, uzalendo ulimshinda, akaenda kunyonya chuchu za diamond kama inavyoonekana pichani  Kitendo hicho kilimuudhi bwana wake, ambapo alimvuta binti huyo na kumchapa makofi. Katika picha ya pili, binti huyo anaonekana akilia baada ya kuchezea kichapo, huku akiwa amewekwa “chemba” na boyfriend wake.