Saturday, June 8, 2013

KALA JEREMIAH NA OMMMY DIMPOZ WATISHA


Mwaka huu umekuwa mwaka mzuri zaidi kimuziki kwa msanii toka rock City Mwanza Kala Jeremiaha ambae maombi yake kwa ‘Dear God’ yamesikika na amepata majibu kwa njia ya kipekee na wimbo wake ‘Dear God’ umeweza kuchukua tuzo tatu katika Kilimanjaro Music Awards 2013.  
 
Kala Jeremiah ametumia mkuki mmoja kunasa ‘swala’ wake watatu muhimu mwaka huu, Dear God imeweza kumpa nafasi kubwa na kushinda tuzo katika kipengele cha wimbo bora wa Hip Hop.Nguvu ya wimbo huo hapana shaka ndiyo imemuwezesha pia kuondoka na tuzo ya msanii bora wa Hip Hop na Mtunzi bora wa mashairi ya Hip Hop.

Kala aliweza kuwapenya wasanii wazito kama Fid Q, Joh Makini, Mwana FA, Profesa Jay na mdogo wake katika game Stamina wa Moro Town waliokutana nae katika vipengele vya Hip Hop.

Wimbo huu ulitengenezwa na mtayarishaji chipukizi Dee Classic ambae pia alikuwa anawania tuzo katika kipengele cha mtayarishaji chipukizi wa Mwaka lakini hakuweza kushinda tuzo hiyo ambayo ilienda kwa Mesen Selector.

Msanii mwingine wa bongo fleva aliyeng’ara katika tuzo hizo ni Ommy Dimpoz ambae pia aliondoka na Tuzo tatu, ambazo ni Video bora ya wimbo bora ya mwaka, wimbo bora wa Bongo Pop ‘Me and You’ akiwa na Vannessa Mdee ambao pia uliwapa tuzo ya wimbo bora wa kushirikishwa/kushirikiana.

Wasanii na watayarishaji wa muziki wa bongo fleva ambao kwa mara ya kwanza wameweza kujishindia tuzo za Kili ni pamoja na kundi la Jambo Squared toka Arusha (Kundi bora la muziki wa kizazi kipya), Rama Dee ‘Kinega’ (Wimbo bora wa RnB ‘Kuwa na subira).

Wengine ni Amini (Wimbo bora wa Zouk Rhumba ‘Ni wewe’), Recho (Msanii bora wa kike Bongo fleva), na Nay wa Mitego (Wimbo bora wa Hip Hop ‘Nasema Nao’). Mesen Selecter (Mtayarishaji chipukizi wa Mwaka), Ali Nipishe (Msanii bora anaechipukia).

Tuzo hizo zimeshuhudiwa huku mfalme na malkia wa muziki wa kibongo wakitangazwa kuwa Lady Jay Dee ‘Anaconda’ (Msanii bora wa Kike) na Diamond Platinumz (Msanii bora wa kiume).

Friday, June 7, 2013

MWANAUME AFARIKI DUNIA NDANI YA URODA GEST HOUSE ILIYOKO MANZENSE LEO MCHANA......


Difenda  ya  polisi  ikiuchukua  mwili  wa  marehemu...

Mwanaume mmoja ambaye hakujulikana jina lake leo amekutwa amekufa katika gesti bubu iitwayo Uroda iliyopo Manzese Midizini jijini Dar. 


Kwa mujibu wa mashuhuda waliokuwa eneo la tukio ni kwamba marehemu alikuwa na mpenzi wake ambaye waliingia wote katika gesti hiyo lakini alikutwa jamaa peke yake.

 Mwili wa marehemu umepelekwa na polisi kwa uchunguzi zaidi.

Thursday, June 6, 2013

HATIMAYE NGWEA AZIKWA KWENYE MAKABURI YA KIBONDA MKOANI MOROGORO

Baada ya siku kadhaa zilizokuwa na kila aina ya harakati, ugumu na majonzi makubwa, Albert Mangweha aka Ngwair leo amezikwa kwenye makaburi ya Kihonda mkoani Morogoro ambako ni nyumbani kwao.

Kabla ya kuzikwa, wananchi wa Morogoro walipata fursa ya kuuaga mwili wake kwenye uwanja wa Jamhuri.

 
 Umati mkubwa wa wananchi ulijitokeza kutoa heshima zao za mwisho kwa mwili wa Ngwair aliyefariki nchini Afrika Kusini, wiki iliyopita. Wasanii wengi kutoka Dar es Salaam nao wamehudhuria mazishi hayo.
16f11344cea711e2813a22000a1f8f34_7
75e8603ecea511e29ecd22000aaa08de_7
4406673ccea511e2850422000a1f9a85_7
“Marehemu Albert Mangweha azikwa kishujaa sana ni umati usioelezeka mungu akulaze mahali pema peponi,” ameandika Izzo B kwenye Instagram.


Naye Lady Jaydee kupitia Twitter ameandika: Mpk hapa tulipomsindikiza panatosha. Mungu amrehemu, kazi tumeimaliza. Life goes on.”
e1147594cea211e2a86422000a1f9839_7
ee9d94facea411e2a9ea22000ae81462_7
f18745b2cea411e2aa3022000a9e2931_7


Tuesday, May 28, 2013

AIBU: VIDEO YA NGONO YA WANAFUNZI WA COLLAGE MOJA ILIYOPO DODOMA YAVUJA....WALIJIREKODI WENYEWE NA KUISAMBAZA


Baadhi ya wanafunzi  wa vyuo vikuu mbalimbali mjini Dodoma  wameoza kwa matukio machafu ya ngono..

Uchunguzi wetu umebaini kuwa siyo kila mwanachuo anayepata nafasi hiyo adimu ya kujiunga na elimu ya juu anafanya kile kilichokusudiwa, badala yake wanafanya kinyume kwa kujihusisha na vitendo haramu na hatarishi vya ngono.


Katika uchunguzi wa muda mrefu, mpekuzi blog imefanikiwa kunasa matukio mbalimbali machafu yaliyopitiliza ya vitendo vya ngono  ambapo picha  na video ya ngono   ya  wanafunzi  wanaosoma chuo/COLLAGE   moja  mjini Dodoma   imenaswa laivu....
Tarehe 20  mwezi huu wa tano,mpekuzi blog ilipokea simu kutoka  kwa mdau mmoja  ambaye  aliipasha  juu ya kuwepo kwa mkanda wa ngono  chuoni hapo ambao umerekodiwa  na wanafunzi wa chuo/COLLAGE  hiyo....
Hapa walikuwa wakitazama camera ambayo waliitegesha wenyewe
--------------
Baada ya tarifa hiyo, mtandao huu ulimteua mpekuzi  mmoja  ambaye alikabidhiwa majukumu ya kuujua ukweli ikiwa ni pamoja na kuipata video  hiyo kwa gharama yoyote kama ushahidi....

Mpekuzi huyo alifanya kama alivyoelekezwa.Tarehe 22 may alifanikiwa kuonana  na mnyetishaji huyo  ambaye alimpa mkanda mzima  wa tukio hilo..
Mazungumzo yao:

Mpekuzi: Vipi kamanda, pole na kitabu!
Mnyetishaji: Asante kaka, poleni na kazi
Mpekuzi: Asante sana, suala langu ni moja tu...ambalo ni kuipata hiyo video , maelezo mengine baadae.
Mnyetishaji: (anacheka): Kaka  dunia imeoza...chuo/COLLAGE  imegeuzwa kambi ya ngono.Watu wanabebana kama kuku, mbaya zaidi wanajirekodi  live mithiri ya wacheza xxxxxxx..

Mpekuzi: Kwanza ilikuwaje wakajirekodi?

Mnyetishaji: Unajua sisi wanafunzi   tuna ile hali ya kusifiana mbele ya wenzetu.Kwa hiyo siku ukitoka na demu, ni lazima masela wajue kama ulipiga kazi kweli au ulizingua...

Inavyoonesha  ni kwamba huyu jamaa alitaka kuwathibitishia washikaji zake kwamba alimtungua huyu dem, na ndo maana akamrekodi.

Mpekuzi: ( kicheko kikali) Dah! Wanafunzi mnambo sana aisee...!!Kumbe na wewe ni mdau.Ilikuwaje video hii ikasambaa? wakishajirekodi   hubaki kwa mwenyenayo au husambazwa kwa washikaji?

Mnyetishaji: Kaka  mimi siyo mdau na  ndo maana  nikawapa huu mchongo  ili msaidie  kulikemea hili.Wakishajirekodi, video hubaki kwa mwenye nayo tu.Ukitaka kuona  ni lazima uende kwa mwenyenayo.

Hii imevuja kwa sababu jamaa alijiamini na kuwapa washikaji zake wa karibu ambapo tangu siku hiyo video ilianza kusambaa kwa kasi.

Mpekuzi: Turudi kwenye point kaka...Ntaipataje  hiyo video  ili na mimi niamini???  

Mnyetishaji: Video ninayo, ila ni lazima unitoe kidogo, nimechacha  mwanao..!!

Mpekuzi: Aaah!  kaka  umeanza  uswahili  tena?  haya usijali, ntakutoa Dinner.

Mnyetishaji: Asante kaka, ila msinitaje.

Mpekuzi: Usijali kamanda, na ndo maana sijataka  hata kuuliza mengi kuhusu wewe.Kazi yangu ilikuwa ni kuupata mkanda basi.

Hatimaye mpekuzi wetu alifanikwa kuipata video hiyo  ya aibu.Ni ngumu sana kuamini kama wabongo tumefikia hatua hii  ya laana.


Kwa muda mrefu tumekuwa tukiripoti juu ya matukio machafu yanayotendwa na madenti kwa kuweka picha tu....Baadhi ya watu wamekuwa wakipinga na kudai kuwa  hizo  si za tanzania....

Awamu hii tutaishusha  video  hiyo  kama  ilivyo  ili  jamii  ijionee.Ni video ndefu ( saa nzima).Tumeivunja katika vipande 6.

 ----------------------------------------------------
Msimamo wa mtandao  huu:
----------------------------------------------------
Mpaka  sasa  hakuna  nchi  yoyote  ya Afrika mashariki  ambayo  inaunga  mpango  mchafu wa video za ngono......
Hivi karibuni, Wakenya 11 walinaswa  wakifanya  mapenzi  na  mbwa....Taarifa  zilisambaa kila  sehemu  na  nchi  hiyo  ilichukua  maamuzi magumu  ikiwa  ni  pamoja  na  kumtimua  yule  mzungu  aliyekuwa  akiwashawishi wakenya  hao  wafanye  hivyo......
Mwaka  jana  ilivuja  video  chafu  ya  Agness masongange....Jamii  ya  kitanzania  iliungana  kwa  pamoja  kulilaani  tukio  hilo
Leo wamenaswa  watu wa kawaida tena waliojirekodi wenyewe  kwa  kukusudia....Itashangaza sana  kuwatetea  watu kama  hawa.Kuwaumbua  ni  njia mojawapo  ya  kuthibitisha  usaliti wao katika maadili ya mtanzania......
Kwa sasa, jeshi la polisi lipo  katika  vita  kali  ya  kupambana  na  makahaba. Kwa  nini  tufurahie  kukamatwa  kwa  makahaba  na  tuwatete  hawa???